Isaiah 64:8


8 aLakini, Ee Bwana, wewe ndiwe Baba yetu.
Sisi ni udongo, wewe ndiye mfinyanzi;
sisi sote tu kazi ya mkono wako.
Copyright information for SwhNEN